Ticker

6/recent/ticker-posts

GYMEASE TEA





                                             
WEKA ODA


 GYMEASE TEA_BFSUMA ni majani ya chai ya asili kutoka marekani, yana uwezo wa kuyeyusha mafuta ya ziada na yenye madhara mwilini na kutoruhusu mafuta hayo kuhifadhiwa kwa wingi mwilini. Ina vitamin B1, C ,kwa ajili ya kusaidia kuyeyusha mafuta yalio zidi mwilini na kupunguza unene na kukuongezea kinga asilia ya mwilini maridhawa.

NB. Chai hii inaweza kutumiwa kwa salama hata kwa wanaoathiriwa na utumiaji wa vidonge vinavyopunguza unene.
*_FAIDA_ZA_KUTUMIA_ _GYMEASE_TEA_*
▪️Inasaidia kusawazisha Sukari mwilini.
▪️inasaidia kuvunja vunja na kudhibiti kiwango Cha sukari kinachovyozwa kwenye damu
▪️inasaidia kuvunja vunja mafuta yaliozidi na kubadilisha kuwa nishati.
▪️inasaidia kupunguza mafuta ya tumbo.
▪️nzuri kwa watu wanaotaka kupunguza uzito.
▪️Inaboresha utokaji wa Insulin
▪️Inaboresha kongosho kuweza kuzalisha insulin
*_VIAMBATA_*
Gymnema,Camellia sinensis.
*_ANAEWEZA_KUTUMIA_ _GYMEASE_TEA_?*
▪️Wenye kisukari na wanaopenda kupunguza sukari.
▪️wanaopenda kurekebisha umbo la Mwili ( minyama uzembe na kitambi)
▪️wote wanaotaka kuondosha sumu kwenye mfumo wa damu.
*_MATUMIZI_*
Teabag 1 Baada ya chakula mala mbili Hadi tatu kila siku. Teabag moja waweza tumia Mara mbili Hadi tatu