FAIDA ZA KUTUMIA PROBIO 3
Hii ni product ambayo imetengenezwa kwa probiotic bacteria wa aina tatu. Ndiyo maana inaitwa probio3.:

Bacteria hawa wakiwa hawako katika uwiano ulio sawa yaani bacteria wabaya wakizidi kushambulia tumbo ndipo mwanadam huanza kupata maumivu ya tumbo.
Kutokana na hilo ndipo Bf Suma kwa tafit ilizofanya wakatengeneza Probio3 ili wale wenye changamoto waweze kutumia na kuondoa changamoto husika.
Probio3 ya Bf Suma kila sachet moja huwa na ujazo wa bacteria wazuri billion 200. Hivyo ndiyo maana mtumiaji hupata matokeo haraka kutokana na utendaji wake.
KAZI ZA PROBIO 3








BOFYA HAPA kuwasiliana nasi