Ticker

6/recent/ticker-posts

FAIDA ZA FEMINERGY(CHANGAMOTO ZA MAKUNYANZI ,CHUNUSI,HARARA NK)

                       KIBOKO YA MAKUNYANZI ,CHUNUSI,MIWASHO ALLEGY NA MENGINE MENGI

Kazi ya feminergy
Huondoa makunyanzi.
Huondoa makovu yaliyo achwa na chunusi.
Hung'arisha ngozi na kuondoa mabakaa yasiotakiwa.
Huifadhi unyevu wa ngozi.
Huzuia magonjwa yaletwayo na umri kama kansa, kisukari, Magonjwa ya moyo, Macho na Alzheimer's (Watu wazima kupoteza kumbukumbu) Huifanya Organi zako kufanya kazi bila kuzeeka mapema.
*Faida za feminergy*
°Husaidia mishipa ya damu itanuke na kusinya hivyo kuiwezesha presha ya damu.
°Husaidia madhara ya mionzi ya jua, simu, Tv na mionzi mingine mwilini mwako.
°Husaidia kupambana na Allegy, Athma na mwili kukosa Nguvu.
**Kwa nini uchague feminergy**
--->Ni ya Asili.
Imetengenezwa na mbegu za zabibu.

**Ina matokeo Makubwa**
-->Ina 95% ya kiini cha PROANTHOCYADISM(OPC) Ambacho ndicho hupambana na uzee na kuchoka kwa ngozi.

**Ni salama***
>>Haina madhara kwa mtumiaji.

**Nani haswa anatakiwa kutumia feminegy**
>>Wanawake watu wazima, umri wakati na mabinti.
>>Wanawake wenye makunyanzi na wasiotaka makunyanzi.
>>Wanawake wenye mabaka ya chunusi na wasiotaka mabaka.
>>Wanawake wasiotaka kuzeeka haraka.
>>Watumiaji wa muda mrefu wa kompyuta, simu na TV.
>>Mtu mwenye ugonjwa wa moyo na damu katika ubongo.
>>Watu waliopigwa mionzi ya Chemotherapy.
>>Mtu anayechoka haraka na matatizo ya Allegy.

>>Mwenye matatizo ya kizunguzungu na kutojisikia vyema.