● FAIDA ZA CONSTIRELAX
○ Inasafisha tumbo vizuri mno na kuondoa hari ya kuvimbiwa (constipation)
○ Inaondoa sumu zote tumboni
○ Inaondoa dalili za Bawasiri sugu (Acute Hemorrhoids) kama kuvimba, kutoka damu.
○ Inaboresha mzunguko wa maji maji mwilini na kuondoa viuvimbe vinavyo sababishwa na maji maji.
○ Inasaidia kutibu aina mbali mbali ya vidonda vya tumbo (Peptic & Gastric)
○ Tiba nzuri ya Mawe kwenye figo.
○ Inaboresha ngozi yako kwa kuondoa sumu ndani.
○ Inaondoa gesi na uchafu wote usiotakiwa tumboni.
● VIUNGO (INGREDIENTS)
○ FOS (Fructo-oligosaccharide
○ Radix Astragali
○ Prebiotic
● MATUMIZI
○ Sachet 1 mala 2 kwa siku kabla ya chakula
○ Kwa watoto nusu Sachet mala 2 kwa siku kabla ya chakula kwa siku.
● TAHADHARI
○ Kwa watakaotumia mala ya kwanza wengine itawaletea hari ya kuvulugwa tumbo na hata kuhara au gasi na kuunguruma kwa tumbo
Hii ni kawaida inatokana na kusafisha tumbo na kuondoa bacteria (phenomenon) hari itaisha kadri anavyoendelea kutumi