● FAIDA ZA CEREBRAIN TABLET
○ Inaboresha seli za kwenye ubongo ufanyajikazi wake.
○ Inawezesha damu kuzunguka vizuri kwenye ubongo
○ Inaboresha ufikaji wa virutubisho kwenye ubongo
○ inaboresha coronary artery & damu kuzunguka vizuri kwenye moyo
○ Inaboresha njia ya hewa na kuondoa pumu
○ Inaboresha ufanyà ji kazi wa ubongo, kuondoa hari ya kuuma kwa kichwa mala kwa mala, hali ya kusahau.
○ Inaondoa magonjwa ya moyo yanayosababishwa na kuganda kwa damu.
○ Inapunguza mafuta kwenye damu
○ Inaondoa uharibifu kwenye mfumo wa fahamu
○ Inaongeza ufanisi wa macho na masikio.
● *VIUNGO*
○ Ginkgo leaves extract
● *MTUMIAJI*
○ Watu wanaoshughurisha sana ubongo (akili)
○ Wazee ambao washachoka akili kupunguza kuumwa kichwa na kurudisha kumbukumbu.
● *MATUMIZI*
○ Vidonge 2 mala 3 kwa siku.
● *Tahadhari*
○ Watu wenye shida ya ubongo kutokana na kuvurugika kwa mawasiliano ya seli hawatakiwi kutumia (People with epilepsy)
○ Haitumiwi na watoto, wajawazito na wanaonyonyesha.